Fiqhi ya Ibada Yenye Picha Zilizochorwa (Swahili) | Illustrated Islamic Worship Guide by Dr. Abdullah Bahmmam
Fiqhi ya Ibada Yenye Picha Zilizochorwa (Swahili) | Illustrated Islamic Worship Guide by Dr. Abdullah Bahmmam
Publisher:
Al Homaidhi P Press
Author:
Dr. Abdullah Bahmmam
Binding:
Hard Cover
Pages: 266
Size: 21x28cm
لم نتمكن من تحميل توفر الاستلام

محتوى قابل للطي
وصف كتاب إسلامي
Fiqhi ya Ibada Yenye Picha Zilizochorwa (Swahili) | Illustrated Islamic Worship Guide by Dr. Abdullah Bahmmam
Fiqhi ya Ibada Yenye Picha Zilizochorwa (Swahili) by Dr. Abdullah Bahmmam is a comprehensive illustrated guide that teaches the fundamentals of Islamic worship through clear images and authentic evidence from the Qur'an and Sunnah. Written in the Swahili language, this practical reference covers essential topics including Taharah (purification), Salah, Zakah, Fasting, Hajj, and Umrah, making Islamic rulings easier to understand and apply. The book uses visual demonstrations alongside explanatory text and is accompanied by educational multimedia resources to enhance learning. Ideal for individuals, families, Islamic schools, and study circles, it offers an engaging approach to mastering acts of worship while promoting authentic Islamic knowledge according to the teachings of the Prophet ﷺ
From Author:
Mradi mkubwa wa fiqhi iliyochorwa ambao kila nyumba ya Muislamu haitakiwi kuikosa. -Mfumo kamili wa kujifundisha Fiqhi ya 'Ibada kwa watu na duru ya wanawake, taasisi za kheri na vyuo vya elimu. -Inasimamia katika kuwaunganisha watu kwa kitabu na Sunna kwa njia nyepesi na yenye picha. -Hukumu za ibada zinawepesishwa kwa Waislamu kwa njia ya elimu kwa kutumia njia za kisasa. -Elimu hutegemea uoni kama ilivyo kauli yake Mtume "Swalini kama mlivyoniona nikiswali" -Kila somo lina picha zake za kuielezea, mbali na picha za video. -Mfasiri wa lugha 14 mbali mbali, zinazozungumzwa na watu bilioni tano ulimwenguni. -Insaiklopidia ya Fiqhi imeambatanishwa (Zaidi ya video 50 na makumi ya vitabu na sauti zilizoingizwa)
الناشر
Al Homaidhi P Press
مؤلف
- Dr. Abdullah Bahmmam
الشحن والتوصيل
نقوم بشحن الطلبات مباشرة من مستودعاتنا في المملكة المتحدة والولايات المتحدة الأمريكية، ونقدم خيارات شحن متعددة لتناسب احتياجاتك. نحن نشحن بفخر إلى جميع أنحاء العالم.
عمليات التسليم في المملكة المتحدة (من مستودع المملكة المتحدة):
يصل الشحن القياسي عادةً في غضون 3-4 أيام عمل. يستغرق التسليم السريع 2-3 أيام عمل. نهدف إلى شحن الطلبات في نفس اليوم أو يوم العمل التالي، مع توفر خيارات التوصيل في اليوم التالي حيثما ينطبق ذلك.
عمليات التسليم في الولايات المتحدة الأمريكية (من مستودع الولايات المتحدة الأمريكية):
تصل الطلبات عادةً في غضون 4-7 أيام عمل.
أوروبا (يتم الشحن من المملكة المتحدة):
يستغرق التسليم القياسي حوالي 6-10 أيام عمل، مع توفر خدمات الشحن السريع في غضون 3-5 أيام عمل.
كندا:
الوقت المقدر للتسليم هو 5-10 أيام عمل.
الشحن في جميع أنحاء العالم:
تصل الطلبات الدولية بشكل عام في غضون 5-20 يوم عمل، اعتمادًا على الوجهة وطريقة الشحن المختارة.
للحصول على جداول زمنية دقيقة للتسليم بناءً على موقعك، يرجى الاتصال بنا عبر البريد الإلكتروني وسيقدم فريقنا معلومات مفصلة ومخصصة لعنوانك.
صفحات العينة - المحتوى
Page:01
Fiqhi ya 'Ibada yenye picha zilizochorwa
Hukumu za Kiislamu zilizowepesishwa
www.fighiswahili.com
Dr. Abdullah Bahmmam
Tohara
Swala
Funga
Zakat
Hijja
Tarjama
Dr Abdalla Khatib
Marejeo
Sheikh Salim Barhayan
Ustadh Said Abdu
Ustadh Ahmed Yasin Mustafa
Sheikh Said Bawazir
Page:02
Cha Hija
Fikihi ya Ibada kwa Picha
2- Kuvaa nguo ya kushonwa kwa mwanamume
Maanaya nguo yakushonwa ni iliyoshonwa kwa kadiri ya mwili au sehemu yamwili, kama vile suruwali, kanzu, khofu (soksi nzito), soksi, soksi za mkononi na mfano wake, kwa hadithi iliyopokewa na Ibnu Umar iliyotangulia (msivae kanzu, vilemba, suruali, Kanzu zilizoshikana na kofia wala khofo.) (1),
(Akitopata viatu
Akitopata mwenye kutaka kuhirimia Hija isipokuwa kikoi, basi inafaa avae suruali mapaka atakapopata kikoi (2) Na akitopata viatu, inafaa avae khofu, kwa kauli yake Mtume na avae khofu mbili na azikate mpaka zifike kwenye vifundi vya miguu)
Kuvaa nguo ya kushonwa kwa
aliye kwenye uhramu
3- Kuua kiwindwa wa barani au kumwinda
Khofu (soksi nzito) kwa aliye kwenye ihramu
Kwa neno lake Mwenyezi Mungu Aliyetukuka: (Msiuwe viindwa na nyinyi mmehirimia Hija) [595]. Yaani na nyinyi muko kwenye ihramu ya Hijja na 'Umra. Na neno lake Aliyetukuka: (Na mmeharamishiwa viindwa vya barani daima mnapokuwa katika hali ya ihramu) [5: 96]. Na maana ya kiwindwa cha barani ni kinachokuwa cha mwituni miongoni mwa wanyama na ndege.
Ama mnyama wa kufugwa si kiindwa. Hivyo basi inafaa kwa aliye kwenye ihramu kuchinja kuku, wanyamahoa (mbuzi, ngo'mbe, ngamia) na mfano wao. Ama kiindwa cha baharini kinafaa, kwa neno la Mwenyezi Mungu Aliyetukuka: (Mmehal ali shiwa kiindwa cha baharini na chakula chake} [5:96] Ama mnyama aliye haramu kuliwa kama nyoka na nge. inafaa inafaa kwa aliye kwenye ihramu kumuua mnyama yoyote anayem shambulia iwapo hakuna njia nyingine ya kujikinga naye isipokuwa hiyo.
Nge kitumbo
Nyoka
Kiindwa cha bahari ni halali kwa aliye kwenye ihramu
Yafaa kuchinja mnyamahoa
Kundwa cha bara miongoni mwa ndege
(1) Imepokewa na Bukharina Muslim.
(2) Kama mtu aliyesahau mavazi ya kuhirimia lavenye sanduku la safari ndegeni au melini na asiwe na kiloi, basi inafaa avue nguo zake na ahirimie akiwa amevaa suruali na alitatie shati lake live ni kama kis hali, mpaka atapofika kwenye bandari atatoa mavazi yake ya kuhirimia na atayavaa na halazimiwi na kitu chochote
(3) Imepokewa na Ibnu Khuzaimah
Page:03
Masharti ya kuswihi swala
Swala ya Alfajiri
Swala ya Alasiri
Swala ya Adhuhuri
Swala ya Isha
Swala ya Magharibi
Mlango wa Swala
Yasiofaa
yenye
-Kuswali na nguo ya kubana yenye kusifu uchi wa mtu, au nguo nyembamba kuonyesha, au kuswali na huku akiwa tupu yake inaonekana, au na isbaal nao ni mtu kuswali na nguo yake imevuka vi fundoni.
-Kuswali na nguo yenye picha, au kuswali sehemu zilowekwa picha zaroho, au kuswalia mswala wenye picha na michoro.
- Kuswali katika Msikiti wenye Makaburi, kwa neno lake Mtume (Jueni kuwa watu walio kuwa kabla yenu wakiyafanya makaburi ya manabii wao na watuwema wao misikiti, basi musiyafanye makaburi yeni misikiti mimi nawakataza hilo) (1)
(1) Imepokewa na Muslim
من هو Dr Abdullah Bahmmam؟
Dr. Abdullah Bahmmam is an Islamic author and educator best known for his internationally recognized series Illustrated Jurisprudence of Acts of Worship (Fiqh al-‘Ibadat al-Musawwar). His works focus on simplifying Islamic rulings related to purification, prayer, fasting, zakat, and Hajj through visual illustrations, diagrams, and modern teaching methods. His educational approach is designed for families, Islamic institutes, students, and new learners, making Islamic jurisprudence easier to understand through step-by-step imagery and practical explanations. His books have been translated into numerous languages and distributed worldwide.